Watumiaji na Majukumu
Kila mtumiaji anaona kazi zinazohusu jukumu lake.
- Super Admin
- School Admin
- Mkuu wa Shule
- Walimu na Watumishi
- Roles na Permissions
MACHAKA SYSTEMS inaunganisha matokeo, fedha, mahudhurio, mawasiliano na shughuli nyingine muhimu za shule katika mfumo mmoja salama na rahisi kutumia.
Modules zimeunganishwa ili kila idara ifanye kazi kwa urahisi na uongozi ufanye maamuzi kwa taarifa sahihi.
Kila mtumiaji anaona kazi zinazohusu jukumu lake.
Taarifa zote za kitaaluma zinapatikana sehemu moja.
Kutoka uingizaji wa alama hadi ripoti ya mwisho.
Nyaraka rasmi zenye muonekano wa shule yako.
Uwazi wa fedha kuanzia malipo hadi ripoti.
Fuatilia muda, uwepo na vipindi kwa usahihi.
Rasilimali za kujifunzia zinazosimamiwa kwa urahisi.
Usalama na ustawi wa mwanafunzi nje ya darasa.
Fikisha taarifa sahihi kwa watu sahihi kwa wakati.
Simamia uwepo wa shule mtandaoni kutoka kwenye mfumo.
Taarifa za shule zinalindwa na kufuatiliwa.
Wazazi na wanafunzi hupata taarifa bila kufika shuleni.
Uko tayari kuanza kusimamia shule yako kwa njia ya kisasa?
Jaza taarifa za shule, eneo, mwombaji na mawasiliano kupitia fomu salama.
Timu ya MACHAKA SYSTEMS itakagua ombi na kuwezesha akaunti pamoja na mpangilio unaofaa.
Admin wa shule anaingia, anaweka taarifa na kuunda watumiaji wenye roles zinazohitajika.
Fungua ukurasa wa usajili, jaza taarifa za shule na tengeneza akaunti. Baada ya usajili utaweza kuingia na kuanza kuweka madarasa, masomo, wanafunzi, mitihani na alama.