MFUMO KAMILI WA USIMAMIZI WA SHULE

Shule yako yote. Mfumo mmoja.

MACHAKA SYSTEMS inaunganisha matokeo, fedha, mahudhurio, mawasiliano na shughuli nyingine muhimu za shule katika mfumo mmoja salama na rahisi kutumia.

Rahisi kutumia Taarifa salama Simu na computer
Shule mpya jisajili; mwenye akaunti bonyeza Login.
Salama na kudhibitiwa
Inafanya kazi popote
Watumiaji wengi
Msaada wa karibu
UWEZO WA MFUMO

Kila kitu ambacho shule yako inahitaji

Modules zimeunganishwa ili kila idara ifanye kazi kwa urahisi na uongozi ufanye maamuzi kwa taarifa sahihi.

Watumiaji na Majukumu

Kila mtumiaji anaona kazi zinazohusu jukumu lake.

  • Super Admin
  • School Admin
  • Mkuu wa Shule
  • Walimu na Watumishi
  • Roles na Permissions

Wanafunzi na Taaluma

Taarifa zote za kitaaluma zinapatikana sehemu moja.

  • Usajili wa Wanafunzi
  • Wazazi na Walezi
  • Madarasa na Masomo
  • Mgao wa Walimu
  • Academic Overview

Mitihani na Matokeo

Kutoka uingizaji wa alama hadi ripoti ya mwisho.

  • Exam Types na Tests
  • Uingizaji na Approval ya Alama
  • Grade Boundaries
  • Result Cards na Rankings
  • Uchambuzi wa Ufaulu

Vyeti na Vitambulisho

Nyaraka rasmi zenye muonekano wa shule yako.

  • ID Cards za Wanafunzi
  • ID Cards za Wafanyakazi
  • Vyeti vya Jumla
  • Vyeti vya Masomo
  • Tabia na Ujuzi

Uhasibu wa Shule

Uwazi wa fedha kuanzia malipo hadi ripoti.

  • Ada na Michango
  • Ankara na Risiti
  • Mapato na Matumizi
  • Bajeti
  • Ripoti za Fedha

Mahudhurio na Ratiba

Fuatilia muda, uwepo na vipindi kwa usahihi.

  • Attendance ya Wanafunzi
  • Attendance ya Wafanyakazi
  • Attendance Reports
  • Class Teacher Assignment
  • School Timetable

Maktaba na Kujifunzia

Rasilimali za kujifunzia zinazosimamiwa kwa urahisi.

  • Vitabu na Nakala
  • Kukopesha na Kurejesha
  • Homework na Assignments
  • Teaching Materials
  • Downloads na Reports

Usafiri na Afya

Usalama na ustawi wa mwanafunzi nje ya darasa.

  • Magari na Routes
  • Driver Assignments
  • Wanafunzi wa Usafiri
  • Taarifa za Afya
  • Dawa na Health Reports

Mawasiliano

Fikisha taarifa sahihi kwa watu sahihi kwa wakati.

  • Announcements
  • Messages na Notifications
  • SMS, Email na WhatsApp
  • Templates na Reminders
  • Delivery Logs

Website ya Shule

Simamia uwepo wa shule mtandaoni kutoka kwenye mfumo.

  • Banners na Gallery
  • Habari na Matukio
  • Video na Hotuba
  • Academic Calendar
  • Forms na Website Settings

Usalama na Udhibiti

Taarifa za shule zinalindwa na kufuatiliwa.

  • Login Security
  • Page Access Control
  • Audit Logs
  • Account Management
  • Database Backup

Portal za Wazazi na Wanafunzi

Wazazi na wanafunzi hupata taarifa bila kufika shuleni.

  • Matokeo na Result Cards
  • Ada na Malipo
  • Mahudhurio
  • Assignments na Materials
  • Ujumbe na ID Card

Uko tayari kuanza kusimamia shule yako kwa njia ya kisasa?

Anza kwa urahisi

Hatua tatu za kuanza kutumia MACHAKA SYSTEMS

1

Sajili shule

Jaza taarifa za shule, eneo, mwombaji na mawasiliano kupitia fomu salama.

2

Pokea uthibitisho

Timu ya MACHAKA SYSTEMS itakagua ombi na kuwezesha akaunti pamoja na mpangilio unaofaa.

3

Ingia na uanze

Admin wa shule anaingia, anaweka taarifa na kuunda watumiaji wenye roles zinazohitajika.

Anza kutumia mfumo

Sajili shule yako kwenye MACHAKA SYSTEMS

Fungua ukurasa wa usajili, jaza taarifa za shule na tengeneza akaunti. Baada ya usajili utaweza kuingia na kuanza kuweka madarasa, masomo, wanafunzi, mitihani na alama.

  • Usajili maalum wa shule au taasisi
  • Akaunti salama ya msimamizi wa shule
  • Ufikiaji wa mfumo wa matokeo na features nyingine

Shule mpya

Bonyeza hapa kufungua fomu kamili ya usajili.

Anza kusimamia matokeo kwa urahisi

Sajili shule mpya au ingia kama tayari una akaunti ya MACHAKA SYSTEMS.